Headlines

SIASA: MAMA MARIA NYERERE AMPIGIA DEBE MWANAE!

By Sebastian - Tuesday, April 14, 2015 No Comments




Dar es Salaam. Mke wa Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Nyerere, Mama Maria Nyerere amesema kuwa mtoto wake, Makongoro Nyerere ana haki ya kugombea nafasi ya urais katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba.

 

No Comment to " SIASA: MAMA MARIA NYERERE AMPIGIA DEBE MWANAE! "