Headlines

Accidents : Ajali nyingine ya basi Tabora #RIP

By Sebastian - Wednesday, April 15, 2015 No Comments
Ak7DBmnuUZt7oW2h7bvLoG21bLqHiym6g43cHLJGBLFF

HEADLINES za ajali za mabasi TZ zimeendelea.. lakini wakati mwingine kumekuwa na uvumi wa mitandaoni, watu wanaambizana kuwa kuna ajali halafu PICHA ambazo zinatumiwa zinakuwa hazina uhalisia na tukio lenyewe.

Hizi zimeenea sana mitandaoni leo, nimeifuatilia na kupata undani wa taarifa yenyewe.. ni ajali iliyotokea Nzega, Tabora. RPC wa Tabora, Suzan Kaganda amethibitisha kutokea ajali hiyo, mtu mmoja amefariki na wengine 20 wamejeruhiwa baada ya basi hilo la Air Jordan kupinduka.

AiLKqSz0qiHDvo0xQveRSYV2OLQA_vGs5bO6dxi4HpWe
Ak7DBmnuUZt7oW2h7bvLoG21bLqHiym6g43cHLJGBLFF

No Comment to " Accidents : Ajali nyingine ya basi Tabora #RIP "