Headlines

Going BONGO’.. Movie nyingine mtaani, umeipata hii? Cheki Trailer na PICHAZ za uzinduzi wake..

By Sebastian - Wednesday, April 15, 2015 No Comments
Kingine kipya kwenye MOVIE Bongo mtu wangu.. wapo walioshuhudia uzinduzi wa Movie hii uliofanyika APRIL 11 2015 maeneo ya Tegeta, DAR.. tumeona watu wengi wanalalamika kwamba story za kwenye Bongo Movie ni kama zinajirudia rudia hivi, lakini hii iko tofauti.
Story ya movie inahusu Daktari mmoja kutoka Marekani anakuja zake TZ kuvolunteer kama mwezi mmoja hivi.. kumbe hiyo ilikuwa ni mistake kwake?

IMG_3220
Mengi yanamtokea huyu Daktari akiwa ndani ya TZ..
Kwa time yao unaweza kuingia mtaani ukaicheki kwenye maduka ambapo inapatikana kwenye 

DVD, nimeambiwa iko pia kwenye iTunes mtandaoni.
Hapa nna PICHAZ ambazo nimekusogezea uzinduzi iliyokuwa.

2G2A1161 

2G2A1202 

2G2A1211 

2G2A1231

2G2A1236




2G2A1258
2G2A1283
2G2A1307
2G2A1313
2G2A1361
2G2A1420
2G2A1475
2G2A1513
2G2A1524
2G2A1538
2G2A1575
2G2A1581

2G2A1634

IMG_3279
IMG_3376
IMG_3390
IMG_3407
Unaweza kuicheki Trailer ya Movie hiyo hapa..

No Comment to " Going BONGO’.. Movie nyingine mtaani, umeipata hii? Cheki Trailer na PICHAZ za uzinduzi wake.. "